BUSTANI YA WATU WEMA
{قال تعالى : {وَمَن يُعَظِّمْ حُرُمَاتِ اللَّهِ فَهُوَ خَيْرٌ لَّهُ عِندَ رَبِّهِ
{قال تعالى : {ذَٰلِكَ وَمَن يُعَظِّمْ شَعَائِرَ اللَّهِ فَإِنَّهَا مِن تَقْوَى الْقُلُوبِ
{قال تعالى : {وَاخْفِضْ جَنَاحَكَ لِلْمُؤْمِنِينَ
{قال تعالى : {مَن قَتَلَ نَفْسًا بِغَيْرِ نَفْسٍ أَوْ فَسَادٍ فِي الْأَرْضِ فَكَأَنَّمَا قَتَلَ النَّاسَ جَمِيعًا وَمَنْ أَحْيَاهَا فَكَأَنَّمَا أَحْيَا النَّاسَ جَمِيعًا
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na anayevituza vitu vitakatifu vya Mwenyezi Mungu basi (kufanya) hivyo ni kheri yakw mwenyewe mbele ya mola wake]
[Suuratul Hajj:30]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na anayetukuza ibada za Mwenyezi Mungu, basi hayo ni katika unyenyekevu wa nyoyo ] [Suratul Hajj:32]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na wainamishie bawa lako (la huruma) Waumini.] [Suuratul Hijr:88]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote.] [Suurat Al-Maida:32]
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله