BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {شَرُّ الطَّعَامِ طَعَامُ الوَلِيمَةِ، يُمْنَعُهَا مَنْ يَأتِيهَا، وَيُدْعَى إِلَيْهَا مَنْ يَأْبَاهَا، وَمَنْ لَمْ يُجِبِ الدَّعْوَةَ فَقَدْ عَصَى اللهَ وَرَسُولَهُ} رواه مسلم
وفي رواية في الصحيحين، عن أَبي هريرة من قوله: {بئْسَ الطَّعَامُ طَعَامُ الوَلِيمَةِ يُدْعَى إِلَيْهَا الأغْنِيَاءُ ويُتْرَكُ الفُقَراءُ}
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema “Mtume ﷺ : [Chakula kibaya ni chakula cha walima kinanyimwa anaekiendea na hualikwa anaekikataa. na asie itikia mwaliko atakuwa amemuasi Mwenyezi Mungu namtume wake. ] [Imepokewa na Muslim]
Nakatika riwaya katika sahihi mbili: [Chakula kibaya ni chakula cha walima kinanyimwa wanaalikwa matajiri na kuachwa masikini. ]