0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

261. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubora wa Waislamu wanyonge Hadithi 02

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي هُبيْرةَ عائِذِ بن عمْرو المزَنِيِّ وَهُوَ مِنْ أَهْلِ بيْعةِ الرِّضوانِ رضي اللَّه عنه، أَنَّ أَبا سُفْيَانَ أَتَى عَلَى سلْمَانَ وصُهَيْب وبلالٍ في نفَرٍ فقالوا : ما أَخَذَتْ سُيُوفُ اللَّه مِنْ عدُوِّ اللَّه مَأْخَذَهَا ، فقال أَبُو بَكْرٍ رضي اللَّه عنه : أَتَقُولُونَ هَذَا لِشَيْخِ قُريْشٍ وَسيِّدِهِمْ؟ فَأَتَى النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فَأَخْبرهُ فقال : يا أَبا بَكْر لَعلَّكَ أَغْضَبتَهُم ؟ لَئِنْ كُنْتَ أَغْضَبْتَهُمْ لَقَدْ أَغْضَبتَ رَبَّكَ ؟ فأَتَاهُمْ فقال : يا إِخْوتَاهُ آغْضَبْتُكُمْ ؟ قالوا : لا ، يغْفِرُ اللَّه لَكَ يا أُخَيَّ .  رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka Abû Hubairah, ‘Â-idh bin ‘Amri al-Muzany naye ni katika watu waliohudhuria Bai‘aturridhwân Radhi za Allah ziwe juu yake  amesimulia kuwa Abû Sufyân alimwendea Salmân, Suhaib na Bilâl katika kundi la watu. Wakasema: “Panga za Allâh hazikuwafeka maadui Zake!” Abûbakar (Radhi za Allah ziwe juu yake) akawaambia: “Mnamwambia hivi mzee wa Maqureshi na Bwana wao?” Akamwendea Mtume ﷺ na akamweleza habari ile. Mtume ﷺ akamwambia: “Eee Abûbakar, pengine umewakasirisha? Iwapo umewakasirisha, hakika umemkasirisha Mola wako.” (Abûbakar) akawaendea na akawauliza: “Enyi ndugu zangu nimewakasirisha?” Wakasema: “Hapana, Allâh Akusamehe ee ndugu yetu.”    [Imepokewa na Muslim.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.