BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه أَنَّ امْرأَةً سوْداءَ كَانَتَ تَقُمُّ المسْجِد ، أَوْ شَابّاً ، فَفقَدَهَا ، أو فقده رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فَسَأَلَ عَنْهَا أَوْ عنْهُ ، فقالوا : مات . قال : « أَفَلا كُنْتُمْ آذَنْتُمُونِي » إِنَّ هَذِهِ الْقُبُور مملُوءَةٌ ظُلْمةً عَلَى أَهْلِهَا ، وإِنَّ اللَّه تعالى يُنَوِّرهَا لَهُمْ بصَلاتِي عَلَيْهِمْ » متفقٌ عليه
Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba mwanamke mweusi alikuwa akifagia Msikiti (wa Mtume ﷺ) au baro baro, Mtume ﷺ akamkosa na akamulizia (Maswahaba) Wakamwambia kuwa : Amefariki Akasema (Mtume ﷺ) [Si Mungekuwa mumenijulisha] Ni kana kwamba hawakuona umuhimu wa huyo mwanamke au huyo Kijana kisha Mtume ﷺ akasema [Nielekezeni lilipoKaburi lake] wakamuonyesha akamswalia, kisha akasema [Hakika haya makaburi yamejaa giza kwa waliomo humo na Mwenyezi Mungu alietukuka anawajazia nuru kwa Swala yangu juu yao] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى