BUSTANI YA WATU WEMA
عن حَارِثَة بْنِ وهْب رضي اللَّه عنه قال : سمعتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ : « أَلا أُخْبِرُكُمْ بِأَهْلِ الجنَّةِ ؟ كُلُّ ضَعيفٍ مُتَضَعِّفٍ لَوْ أَقْسَم عَلَى اللَّه لأبرَّه ، أَلاَ أُخْبِرُكُمْ بَأَهْلِ النَّارِ؟ كُلُّ عُتُلٍّ جَوَّاظٍ مُسْتَكْبِرٍ » متفقٌ عليه
Kutoka kwa Haritha bin wahb (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Nimemsikia Mtume wa Mungu ﷺ akisema: [Jee nisiwape khabari kuhusu watu wa Peponi ? Ni kila Dhaifu mwenye kudharauliwa lau ataapa kitu kwa jina la Mwenyezi Mungu basi Mwenyezi Mungu atamtimizia, Jee nisiwape khabari kuhusu watu wa Motoni ? Ni kila muovu Mwenye kukusanya mali bakhili, Mwenye kiburi] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى