June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي موسى الأَشعري رضي اللَّه عنه قال : كان النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إِذَا أَتَاهُ طالِبُ حاجةٍ أَقْبَلَ عَلَى جُلسائِهِ فقال : « اشْفَعُوا تُؤجَرُوا ويَقْضِي اللَّه عَلَى لِسان نَبِيِّهِ ما أَحبَّ » متفق عليه
«وفي رواية : « مَا شَاءَ
Kutoka kwa Abuu Musa Al-Ash’ariy (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema: alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ anapojiwa na mwenye haja, huwaelekea walioketi pamoja naye akiwambia: [Ombeeni mtalipwa, na Mwenyezi Mungu hukudhi (haja) kwa Ulimi wa Nabii wake Anavyopenda] [Imepokewa na Muslim]
Na katika Riwaya nyingene imesema: [Hutekeleza Anavyotaka]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله