0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

243. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kusitiri Aibu za Waislamu … Hadithi 04


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أبي هريرة رضي الله عنه قال : أُتِيَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِرجلٍ قَدْ شرِب خَمْراً قال : « اضْربُوهُ» قال أَبُو هُرَيْرةَ : فمِنَّا الضَّارِبُ بِيدهِ والضَارِبُ بِنَعْله ، والضَّارِبُ بِثوبِهِ . فَلَمَّا انْصَرَفَ قَال بعْضُ الْقَومِ : أَخْزاكَ اللَّه ، قال : « لا تقُولُوا هَكَذا لا تُعِينُوا عليه الشَّيْطان »    رواه البخاري


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema Aliletwa kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu  Mtu ambae alikua amekunywa Pombe Mtume 
 akasema: [Mpigeni] anasema Abu Hureira: Basi ikawa miongoni mwetu wapo wanaopiga kwa Mikono yao, na wanaopiga kwa Viatu vyao , na wanaopiga kwa Nguo zao. Alipoondoka yule mtu wakasema baadhi ya watu: Mwenyezi Mungu akudhalilishe, Mtume 
akawambia [Musiseme hivyo, musimsaidie Sheitani juu yake]   

[Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.