BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أبي هريرة رضي الله عنه قال : أُتِيَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِرجلٍ قَدْ شرِب خَمْراً قال : « اضْربُوهُ» قال أَبُو هُرَيْرةَ : فمِنَّا الضَّارِبُ بِيدهِ والضَارِبُ بِنَعْله ، والضَّارِبُ بِثوبِهِ . فَلَمَّا انْصَرَفَ قَال بعْضُ الْقَومِ : أَخْزاكَ اللَّه ، قال : « لا تقُولُوا هَكَذا لا تُعِينُوا عليه الشَّيْطان » رواه البخاري
Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema Aliletwa kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Mtu ambae alikua amekunywa Pombe Mtume
ﷺ akasema: [Mpigeni] anasema Abu Hureira: Basi ikawa miongoni mwetu wapo wanaopiga kwa Mikono yao, na wanaopiga kwa Viatu vyao , na wanaopiga kwa Nguo zao. Alipoondoka yule mtu wakasema baadhi ya watu: Mwenyezi Mungu akudhalilishe, Mtume
ﷺ akawambia: [Musiseme hivyo, musimsaidie Sheitani juu yake]
[Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله