June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن عائشة رضي اللَّه عنها قَالَتْ : إِنَهَاهُمْ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم عَن الْوِصال رَحْمةً لهُمْ ، فقالوا: إِنَّكَ تُواصلُ ؟ قال : « إِنِّي لَسْتُ
كَهَيئَتِكُمْ إِنِّي أَبِيتُ يُطْعِمُني رَبِّي ويَسْقِيني » متفقٌ عليه
مَعناهُ : يجعَلُ فيَّ قُوَّةَ مَنْ أَكَلَ وَشَرَبَ
Kutoka kwa Bibi ‘Aisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: [Mtume ﷺ aliwakataza Maswahaba Wiswaal (kuunganisha Saumu usiku na mchana) kwa kuwahurumia wao. Wakasema: “Hakika wewe unaunganisha?” Akasema: [Hakika mimi si kama mmoja wenu. Hakika Mimi ni nalala usiku ninalishwa na Mola wangu na kunyweshwa.] [Imepokewa na Bukhari,na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله