0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

229. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuadhimisha mambo Matukufu ya Uislamu na … Hadithi 08


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن عائشة رضي اللَّه عنها قَالَتْ : إِنْ كَان رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لَيدعُ الْعَمَلَ ، وهُوَ يحِبُّ أَنَ يَعْملَ بِهِ ، خَشْيةَ أَنْ يَعْمَلَ بِهِ النَّاسُ فيُفْرَضَ عَلَيْهِمْ »     متفقٌ عليه 


Kutoka kwa Bibi ‘Aisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: [Mara nyengine alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ  akiacha ‘amali naye anapenda kuitekeleza kwa kuogopea wasije watu wakaifanya amali hiyo kisha ikafaradhiwa juu yao]    [Imepokewa na Bukhari,na Muslim]  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.