June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن عائشة رضي اللَّه عنها قَالَتْ : إِنْ كَان رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لَيدعُ الْعَمَلَ ، وهُوَ يحِبُّ أَنَ يَعْملَ بِهِ ، خَشْيةَ أَنْ يَعْمَلَ بِهِ النَّاسُ فيُفْرَضَ عَلَيْهِمْ » متفقٌ عليه
Kutoka kwa Bibi ‘Aisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: [Mara nyengine alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ akiacha ‘amali naye anapenda kuitekeleza kwa kuogopea wasije watu wakaifanya amali hiyo kisha ikafaradhiwa juu yao] [Imepokewa na Bukhari,na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله