June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي هُريرةَ رضي اللَّه عنه ، أَنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِذا صلى أَحدُكُمْ للنَّاسِ فلْيُخَفِّفْ ، فَإِنَّ فِيهِمْ الضَّعِيفَ وَالسقيمَ والْكَبِيرَ . وإِذَا صَلَّى أَحَدُكُمْ لِنَفْسِهِ فَلْيطَوِّل ما شَاءَ » متفقٌ عليه
«وفي روايةٍ : « وذَا الْحاجَةِ
Kutoka kwa Abuu Hurayra (Radhi za Allah ziwe juu yake) kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Anaposwalisha watu mmoja wenu basi akhafifishe, kwani miongoni mwao kuna Dhaifu, wagonjwa na wazee. Na anaposwali mmoja wenu peke yake, basi arefushe anavyotaka.] [Imepokewa na Bukhaari na Muslim]
Na katika riwayah yengine: [Na wenye haja.]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله