0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

225. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuadhimisha mambo Matukufu ya Uislamu na … Hadithi 04


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي هُريْرَةَ رضي اللَّه عنه قال : قبَّل النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم الْحسنَ ابن عَليٍّ رضي اللَّه عنهما ، وَعِنْدَهُ الأَقْرعُ بْنُ حَابِسٍ ، فقال الأَقْرَعُ : إِنَّ لِي عَشرةً مِنَ الْولَدِ ما قَبَّلتُ مِنْهُمْ أَحداً فنَظَر إِلَيْهِ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فقال : «مَن لا يَرْحمْ لا يُرْحَمْ»   متفقٌ عليه


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yake) Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ alimbusu mjukuu wake Al-Hasan bin ‘Ali (Radhi za Allah ziwe juu yao) Akiwa na Al-Aqra bin Haabis akasema: “Hakika mimi nina watoto kumi sijambusu yeyote miongoni mwao.” Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ alimtazama, kisha akasema: [Asiye na huruma (kwa wenziwe) basi hahurumiwi.]      
[Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.