BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أُمِّ سَلَمةَ رضي اللَّه عنها ، أَن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِنَّمَا أَنَا بشَرٌ ، وَإِنَّكُمْ تَخْتَصِمُونَ إِلَيَّ ، وَلَعَلَّ بَعْضَكُمْ أَنْ يَكُونَ أَلْحنَ بحُجَّتِهِ مِنْ بَعْض ، فأَقْضِي لَهُ بِنحْو ما أَسْمَعُ فَمَنْ قَضَيْتُ لَهُ بحَقِّ أَخِيهِ فَإِنَّمَا أَقْطَعُ لَهُ قِطْعَةً مِنَ النَّارِ » متفق عليه .
«أَلْحَنَ » أَيْ : «أَعْلَم
Kutoka kwa Ummu Salamah Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Hakika mimi ni mwanadamu, nanyi mnaniletea mashtaka yenu kwangu. Na huenda baadhi yenu mkawa mahodari kutoa hoja yake kuliko baadhi ya wengine. Nami nikamuhukumia kwa niliyoyasikia. Basi yoyote nitakempatia haki ya ndugu yake, hakika nitakuwa nimemkatia kipande cha Moto.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله