0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

215. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uharamu wa kudhulumu na Amri ya kurudisha Vilivyodhulumiwa Hadithi 13


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن عَدِي بن عُمَيْرَةَ رضي اللَّه عنه قال : سَمِعْتُ رسولَ اللَّه يَقُول : « مَن اسْتَعْمَلْنَاهُ مِنْكُمْ عَلَى عَمَل ، فَكَتَمَنَا مِخْيَطاً فَمَا فَوْقَهُ ، كَانَ غُلُولا يَأْتِي بِهِ يوْم الْقِيامَةِ » فقَام إَلْيهِ رجُلٌ أَسْودُ مِنَ الأَنْصَارِ ، كأَنِّي أَنْظرُ إِلَيْهِ ، فقال : يا رسول اللَّه اقْبل عني عملَكَ قال: « ومالكَ ؟ » قال : سَمِعْتُك تقُول كَذَا وَكَذَا ، قال : « وَأَنَا أَقُولُهُ الآن : من اسْتعْملْنَاهُ عَلَى عملٍ فلْيجِيء بقَلِيلهِ وَكِثيرِه ، فمَا أُوتِي مِنْهُ أَخَذَ ومَا نُهِِى عَنْهُ انْتَهَى »   رواه مسلم


Kutoka kwa ‘Adiy bin ‘Umayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nimemsikia Mtume ﷺ akisema: [Tutakayempa mmoja wenu jukumu akatuficha iwe ni sindano na zaidi yake, itakuwa ni khiyana atakayokuja nayo Siku ya Qiyama.] Mtu mmoja mweusi katika Answaar akasimama kana kwamba ninamtazama. Akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Nikubalie nijiuzulu kazi yako. Akamuuliza: [Kwa nini?] Akajibu: Nimekusikia ukisema kadhaa na kadhaa. Akasema: [Nami nasema tena sasa Yoyote atakayempa jukumu la kazi fulani basi alete kichache na kingi (alete chochote atakacho pata). Atakachopewa atachukua, na atakachozuiliwa akiache.]     [Imepokewa na Muslim]



شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.