0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

208. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uharamu wa kudhulumu na Amri ya kurudisha Vilivyodhulumiwa Hadithi 06


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن مُعاذٍ رضي اللَّه عنه قال : بعَثَنِي رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فقال : «إنَّكَ تَأْتِي قوْماً مِنْ أَهْلِ الْكِتَاب ، فادْعُهُمْ إِلَى شََهَادة أَنْ لا إِلَهَ إلاَّ اللَّه ، وأَنِّي رسول اللَّه فإِنْ هُمْ أَطاعُوا لِذَلِكَ ، فَأَعْلِمهُمْ أَنَّ اللَّه قَدِ افْترضَ علَيْهم خَمْسَ صَلَواتٍ في كُلِّ يومٍ وَلَيْلَةٍ ، فَإِنْ هُمْ أَطَاعُوا لِذلكَ ، فَأَعلِمْهُمْ أَنَّ اللَّه قَدِ افْتَرَضَ عَلَيهمْ صدَقَةً تُؤْخذُ مِنْ أَغنيائِهِمْ فَتُرَدُّ عَلَى فُقَرائهم ، فَإِنْ هُمْ أَطَاعُوا لِذلكَ ، فَإِيَّاكَ وكَرائِمَ أَمْوالِهم . واتَّقِ دعْوةَ الْمَظْلُومِ فَإِنَّهُ لَيْس بينها وبيْنَ اللَّه حِجَابٌ »     متفقٌ عليه


Kutoka kwa Mu’adh Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: alinituma Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ (Yemen) akaniambia: [Hakika unawaendea watu wa Ahlul Kitaab (utakapowendea) walinganie katika kushuhudia na kukubali kuwa hapana Mola Apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mungu mmoja na kuwa mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Wanapokutii kwa hilo, wafahamishe kuwa Mwenyezi Mungu Amewafaradhishia Swala tano kwa kila mchana na usiku. Wanapokutii kwa hilo, wafahamishe kuwa Mwenyezi Mungu Amewafaradhishia Zaka inayochukuliwa kutoka kwa matajiri wao na kurudishwa kwa mafakiri miongoni mwao. Wanapokutii kwa hilo, basi tahadhari sana (kuchukuwa) mali yao ya thamani. Na ogopa sana Dua ya mwenye kudhulimiwa kwani haina pazia baina ya Dua hiyo na Mwenyezi Mungu.]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.