BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبي بَكْرٍ الصِّدِّيق ، رضي اللَّه عنه . قال : يا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّكُمْ تقرءونَ هَذِهِ الآيةَ : { يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا علَيْكُمْ أَنْفُسَكُمْ لا يَضُرُّكُمْ منْ ضَلَّ إِذَا اهْتَدَيْتُمْ } [المائدة : 105 ] وإِني سَمِعت رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ : « إِنَّ النَّاسَ إِذَا رَأَوْا الظَّالِمَ فَلَمْ يَأْخُذُوا عَلَى يَدَيْهِ أَوْشَكَ أَنْ يَعُمَّهُمُ اللَّه بِعِقَابٍ مِنْهُ » رواه أبو داود ، والترمذي والنسائي بأسانيد صحيحة
Kutoka kwa Abu Bakr As-Swidiq Radhi za Allah ziwe juu yake Amesema: Enyi watu! Hakika nyinyi mnaisoma Aya hii: [Enyi mlio amini! Kilicho lazima juu yenu ni nafsi zenu. Hawakudhuruni walio potoka ikiwa nyinyi mmeongoka] Kwa hakika nimemsikia Mtume ﷺ akisema: [Watu watakapomwona dhalimu na wasimshike mikoni yake (kumkanya), Basi yakaribia Mwenyezi Mungu Awalatee adhabu kutoka kwake itakayowaenea wote] [Imepokewa na Abu Dawuud, At-Tirmidhiy na An-Nasaaiy]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله