0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

19. MLANGO WA ATAKAEWEKA SUNNA NJEMA UA MBAYA


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{وقال تعالى : {وَالَّذِينَ يَقُولُونَ رَبَّنَا هَبْ لَنَا مِنْ أَزْوَاجِنَا وَذُرِّيَّاتِنَا قُرَّةَ أَعْيُنٍ وَاجْعَلْنَا لِلْمُتَّقِينَ إِمَامًا

{وقال تعالى : {وَجَعَلْنَاهُمْ أَئِمَّةً يَهْدُونَ بِأَمْرِنَا


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na wale wanao sema: Mola wetu Mlezi! Tupe katika wake zetu na wenetu yaburudishayo macho, na utujaalie tuwe waongozi kwa wachamngu.]       [Surat Al-Furqan:74]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na tukawafanya maimamu wakiongoa watu kwa amri yetu]       [Suuratul Anbiyaa:73]


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.