0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

182. Riyadhu Swalihina Mlango wa Nasaha Hadithi 02


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عَنْ جرير بْنِ عبدِ اللَّه رضي اللَّه عنه قال : بَايَعْتُ رَسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم عَلى : إِقَامِ الصَّلاَةِ ، وإِيتَاءِ الزَّكَاةِ ، وَالنُّصْحِ لِكلِّ مُسْلِمٍ . متفقٌ عليه


Kutoka kwa Jariyr bin ‘Abdillaah Radhi za Allah ziwe juu yake alisema kwamba: Nilimbai Mtume wa Mwenyezi Mungu juu ya kusimamisha Swala, kutoa Zaka, na kumnasihi kila Muislamu.   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.