0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

18 DUA ZA WAKATI WA KURUKUU

KINGA YA MUISLAMU

سبحان ربي العظيم ]   ثلاث مرات ]

أخرجه أهل السنن وأحمد وانظر صحيح الترمذي 1/83

[Ametakasika Mola wangu aliye Mtukufu.] (Utasema mara tatu)  [Imepokewa na Abuu Daud na al-Tirmdhi na Ibnu Maajah na Ahmad ]

[ سبحانك اللهم ربنا وبحمدك ، اللهم اغفر لي ]

البخاري 1/199 ومسلم 1/ 350

[Kutakasika ni Kwako, Ewe Mwenyezi Mungu  mola wetu na sifa njema zote ni Zako ewe Mwenyezi Mungu , nisamehe.]        [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

[ سبوح قدوس رب الملائكة والروح ]

مسلم 1/ 353 وأبو داود 1/230

[Mwingi wa kutakaswa, Mtakatifu, mola wa malaika na Jibiriil.]       [Imepokewa na Muslim na Ibnu Majah.]

[ اللهم لك ركعت وبك آمنت ،ولك أسلمت خشع لك سمعي وبصري ودمي ولحمي وعظمي وعصبي،وما استقل به قدمي]

مسلم 1/534 والأربعة إلا ابن ماجه

[Ewe Mwenyezi Mungu Kwako nimerukuu, na Wewe nimekuamini, na Kwako nimejisalimisha, umenyenyekea  Kwako usikizi wangu, na uwoni wangu, na ubongo wangu, na mfupa wangu, na hisia zangu, na ambacho kimesimama juu ya miguu yangu.]    [Imepokewa na Muslim na Abuu Daud na Al-Tirmidhiy na Al-Nasai.]

[ سبحان ذي الجبروت والملكوت والكبرياء والعظمة ]

 أبو داود 1/ 230 والنسائي وأحمد وإسناده حسن

[Ametakasika Mwenye Utawala, na Ufalme, na Ukubwa, na Utukufu.]      [Imepokewa na Abuu Daud na  Al-Nasai na Ahmad na Isnadi yake ni Mzuri.]

SIKILIZA DUA ZA WAKATI WA KURUKUU

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.