0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

178. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kusaidiana katika Wema na Uchamunga Hadithi 02


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبِي سعيدٍ الخُدْرِيِّ رضي اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، بَعَثَ بَعْثاً إِلى بَني لِحيانَ مِنْ هُذَيْلٍ فقالَ : « لِيَنْبعِثْ مِنْ كُلِّ رَجُلَيْنِ أَحَدُهُمَا وَالأَجْرُ بَيْنَهُمَا »     رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Sa’iyd Al-Khudriy Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu alituma kikosi kwa kabila la Lihyaan wa ukoo wa Hudhayl, akasema: [Atoke katika kila watu wawili mtu mmoja na ujira (thawabu) ni baina yao.]   [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.