0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

163. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzihifadhi Sunna na Adabu zake Hadithi ya 08


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين 


عن جابرٍ رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «مثَلِي ومثَلُكُمْ كَمَثَل رجُلٍ أَوْقَدَ نَاراً فَجَعَلَ الْجَنَادِبُ وَالْفَراشُ يَقَعْنَ فيهَا وهُوَ يذُبُّهُنَّ عَنهَا وأَنَا آخذٌ بحُجَزِكُمْ عَنِ النارِ ، وأَنْتُمْ تَفَلَّتُونَ منْ يَدِي »    رواه مسلمٌ


Kutoka kwa Jaabir Radhi za Allah ziwe juu yake Amesema Mtume ﷺ Amesema: [Mfano wangu na mfano wenu ni kama mtu aliyewasha moto, panzi na vipepeo wakawa wanaingia humo (na huyo mtu) akawa anazuia wasiingie. Nami nimewashika viuno vyenu (sehemu ya kuifungia mkanda) kuwaokoa na moto, lakini mnaniponyoka mkononi mwangu ]    [Imepokewana Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.