0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

148. Riyadhu Swalihina Mlango wa kufanya Ibada kwa kiasi Hadithi ya 07


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبِي عبد اللَّه جابر بن سمُرَةَ رضي اللَّهُ عنهما قال : كُنْتُ أُصَلِّي مَعَ النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم الصَّلَوَاتِ ، فَكَانَتْ صلاتُهُ قَصداً وخُطْبَتُه قَصْداً »     رواه مسلم
قولُهُ : قَصْداً : أَيْ بَيْنَ الطُّولِ وَالْقِصَرِ


Kutoka kwa Abuu Abdillaah, Jaabir bin Samurah Radhi za Allah ziwe juu kwamba Mtume Amesema: [Nilikuwa nikiswali pamoja na Mtume  baadhi ya Swala, na ilikuwa Swala yake ni ya wastani na khutbah yake ilikuwa ni wastani.]      [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.