0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

142. Riyadhu Swalihina Mlango wa kufanya Ibada kwa kiasi Hadithi ya 01


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن عائشةَ رضي اللَّهُ عنها أَن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم دخَلَ عليْها وعِنْدها امْرأَةٌ قال : منْ هَذِهِ ؟ قالت : هَذِهِ فُلانَة تَذْكُرُ مِنْ صَلاتِهَا قالَ : « مَهُ عليكُمْ بِما تُطِيقُون ، فَوَاللَّه لا يَمَلُّ اللَّهُ حتَّى تَمَلُّوا وكَانَ أَحَبُّ الدِّينِ إِلَيْهِ ما داوَمَ صَاحِبُهُ علَيْهِ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume ﷺ aliingia kwake wakati alikuweko mwanamke. Akauliza: [Huyu ni nani?] Akamwambia: Huyu ni fulani anayetajwa kusifiwa kwa Swala zake. Akasema: [Wacheni hayo! Fanyeni mnayoweza, na apa kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu Hachoki kuwaandikia thawabu zenu mpaka mtakapochoka nyinyi wenyewe . Na amali inayopendeza mno kwa Mwenyezi Mungu amali ni ile anayodumu nayo mwenye kuifanya.]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.