0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

143. Riyadhu Swalihina Mlango wa kufanya Ibada kwa kiasi Hadithi ya 02


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَنسٍ رضي اللَّه عنه قال : جاءَ ثَلاثةُ رهْطِ إِلَى بُيُوتِ أَزْواجِ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يسْأَلُونَ عنْ عِبَادَةِ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فَلَمَّا أُخبِروا كأَنَّهُمْ تَقَالَّوْها وقالُوا : أَين نَحْنُ مِنْ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَدْ غُفِر لَهُ ما تَقَدَّم مِنْ ذَنْبِهِ وما تَأَخَّرَ . قالَ أَحَدُهُمْ : أَمَّا أَنَا فأُصلِّي الليل أَبداً ، وقال الآخَرُ : وَأَنا أَصُومُ الدَّهْرَ أبداً ولا أُفْطِرُ ، وقالَ الآخرُ : وأَنا اعْتَزِلُ النِّساءَ فلا أَتَزوَّجُ أَبداً، فَجاءَ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إلَيْهمْ فقال : « أَنْتُمُ الَّذِينَ قُلْتُمْ كذا وكذَا ؟، أَما واللَّهِ إِنِّي لأَخْشَاكُمْ للَّهِ وَأَتْقَاكُم له لكِني أَصُومُ وَأُفْطِرُ ، وَأُصلِّي وَأَرْقُد، وَأَتَزَوّجُ النِّسَاءَ، فمنْ رغِب عن سُنَّتِي فَلَيسَ مِنِّى»     متفقٌ عليه


Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake Amesema: kwamba kundi la watu watatu lilikuja katika nyumba za wake wa Mtume   wakiuliza kuhusu Ibadah za Mtume ﷺ . Walipoelezwa waliziona kama ni kidogo, wakasema: Sisi hatuko sawa na Mtume ﷺ , yeye amesamehewa Madhambi yake yaliyotangulia na yatakayokuja. Mmoja wao akasema: Ama mimi, nitaswali daima usiku wote. Mwengine akasema: mimi nitafunga mwaka mzima. Mwengine akasema: Mimi nitawaepuka wanawake, sitaoa kamwe. Mtume akawaendea na kuwauliza: [Ninyi ndio mliosema kadhaa na kadhaa? Ama wa-Allaahi mimi namcha Mwenyezi Mungu zaidi na namuogopa zaidi kulikoni ninyi; lakini mimi ninafunga na nafungua, ninaswali na ninalala, na pia ninaoa wanawake. Atakayechukia mwendo wangu basi huyo si katika mimi.]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.