0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

136. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubainifu wa Njia nyingi za Kheri Hadithi ya 20


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن جابر رضي الله عنْهُ قالَ : أَراد بنُو سَلِمَة أَن ينْتَقِلوا قُرْبَ المَسْجِدِ فبلَغَ ذلك رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فَقَالَ لَهُمْ : « إِنَّه قَدْ بَلَغَنِي أَنَّكُمْ تُرِيدُونَ أَنْ تَنْتَقِلُوا قُربَ الْمَسْجِدِ ؟ » فَقَالُوا : نَعَمْ يا رسولَ اللَّهِ قَدْ أَرَدْنَا ذلكَ ، فَقالَ : « بَنِي سَلِمةَ ديارَكُمْ ، تكْتبْ آثَارُكُمْ ، دِياركُم ، تُكْتَبْ آثارُكُمْ »   رواه مسلم

وفي روايةٍ : « إِنَّ بِكُلِّ خَطْوةٍ درجةً »  رواه مسلم . ورواه البخاري أيضاً بِمعنَاهُ مِنْ روايةِ أَنَسٍ رضي اللَّه عنه
و « بنُو سَلِمَةَ » بكسر اللام : قبيلة معروفة من الأَنصار رضي اللَّه عنهم ، و «آثَارُهُمْ» خُطاهُمْ


Kutoka kwa Jaabir Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: [ Watu wa kabila la Banu Salimah walitaka kuhamia karibu na Masjid. Habari hiyo ilimfikia Mtume ﷺ. Akawauliza: [Nimesikia kuwa mnataka kuhamia karibu na Msikiti.] Wakajibu: Ndio Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, tumetaka kufanya hivyo. Akawaambia: [Enyi Banu Salimah, kaeni huko huko majumbani mwenu (msihame), hatua zenu zinaandikwa, kaeni huko huko hatua zenu zinaandikwa.]    [Imepokewa na Muslim]

Na katika Riwaaya nyingine imesema: [Hakika katika kila hatua kuna daraja.]    Imepokewa na Muslim na Vile vile imepokewa na Bukhari kwa Maana hii kwa upokezi kutoka kwa Anas radhi za Allah ziwe juu yake.


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.