BUSTANI YA WATU WEMA
وعن جابر رضي الله عنْهُ قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « ما مِنْ مُسْلِمٍ يَغْرِسُ غَرْساً إلاَّ كانَ ما أُكِلَ مِنْهُ لهُ صدقةً ، وما سُرِقَ مِنْه لَه صدقَةً ، ولا يرْزؤه أَحَدٌ إلاَّ كَانَ له صدقةً» رواه مسلم
وفي رواية له : « فَلا يغْرِس الْمُسْلِم غرساً ، فَيَأْكُلَ مِنْهُ إِنسانٌ ولا دابةٌ ولا طَيرٌ إلاَّ كانَ له صدقَةً إِلَى يَوْمِ الْقِيَامة
وفي رواية له : « لا يغْرِس مُسلِم غرْساً ، ولا يزْرعُ زرْعاً ، فيأْكُل مِنْه إِنْسانٌ وَلا دابَّةٌ ولا شَيْءٌ إلاَّ كَانَتْ لَه صدقةً ، ورويَاه جميعاً مِنْ رواية أَنَسٍ رضي اللَّه عنه
قولُهُ : « يرْزَؤُهُ » أي : يَنْقُصهُ
Kutoka kwa Jaabir Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume ﷺ : [Muislamu yeyote atakayepandikiza mti basi chochote kitakacholiwa katika mti huo ni sadaka yake, na kitakachoibiwa ni sadaka yake, na chochote kitakachopunguza itakuwa ni sadaka yake.] [Imepokewa na Muslim]
Na katika Riwaya nyingine inasema:[Muislamu yeyote hatopandikiza mbegu,ikaliwa na mwanadau au mnyama au ndege ispokuwa itakuwa ni sadaka yake siku ya Kiyama.]
Na katika Riwaya nyingine yake inasema: [Muislamu yeyote hatopandikiza mbegu,wala hatolima mmeya ikaliwa na mwanadau au mnyama au ndege ispokuwa itakuwa ni sadaka yake.]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله