0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

132. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubainifu wa Njia nyingi za Kheri Hadithi ya 16


BUSTANI YA WATU WEMA


عن أَبِي موسى الأشعري رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « منْ صلَّى الْبَرْديْنِ دَخَلَ الْجنَّةَ »   متفقٌ عليه


Kutoka kwa Abuu Muwsaa Al-Ash’ariyy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume : [Atakayeswali Swala za Baridi Mbili (Swala ya Al-Fajr na Al-‘Aswr) ataingia Peponi.]        [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهToa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.