0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

131. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubainifu wa Njia nyingi za Kheri Hadithi ya 15


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه قال : قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « ألا أدلُّكَم على ما يَمْحُو اللَّهُ بِهِ الْخَطايا ، ويرْفَعُ بِهِ الدَّرجاتِ ؟ » قالوا : بلى يا رسُولَ اللَّهِ ، قال : « إسباغ الْوُضوءِ على الْمَكَارِهِ وكَثْرةُ الْخُطَا إِلَى الْمسَاجِدِ ، وانْتِظَارُ الصَّلاةِ بعْدِ الصَّلاةِ ، فَذلِكُمُ الرّبَاطُ »   رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah  Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume  Amesema: [Jee, niwajulishe jambo ambalo Mwenyezi Mungu Hufuta dhambi kwa sababu yake na Hupandisha daraja kwa sababu yake?] Wakasema: Tujulishe Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu. Akawaambia: [Kutawadha vizuri wakati wa kuwa karaha, kwenda hatua nyingi Msikitni, na kuingojea Swala baada ya Swala. Basi kufanya hayo ndio ar-ribaatwh (kujifunga katika njia ya Mwenyezi Mungu).]       [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.