BUSTANI YA WATU WEMA
قال اللَّه تعالى : {وَمَا تَفْعَلُوا مِنْ خَيْرٍ فَإِنَّ اللَّهَ بِهِ عَلِيمٌ} البقرة:215
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na kheri yoyote mnayo ifanya Mwenyezi Mungu anaijua.] [Sura Al-Baqara:215]
197:وقال تعالى : {وَمَا تَفْعَلُوا مِنْ خَيْرٍ يَعْلَمْهُ اللَّهُ} البقرة
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na kheri yoyote mnayo ifanya Mwenyezi Mungu anaijua.] [Sura Al-Baqara:197]
8:وقال تعالى :{فَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًا يَرَهُ} المزمل
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona!.] [Surat Al Zilzalah:7]
46:وقال تعالى : {مَّنْ عَمِلَ صَالِحًا فَلِنَفْسِهِ} فصلت
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Anaye tenda mema basi anajitendea mwenyewe nafsi yake.] [Suuratul Fuss’ilat:46]
والآيات في الباب كثيرة
Na aya katika Mlango huu ziko nyingi.
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله