0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

124 ANACHOFANYA AKIPATA HABARI YA KUFURAHISHA

ANACHOFANYA AKIPATA HABARI YA KUFURAHISHA

[ كان النبي صلى الله عليه وسلم إذا أتاه أمر يسرهُ أو يسرُّ به خر ساجداً شكراً لله تبارك وتعالى ]

رواه أهل السنن إلا النسائي

[Alikuwa Mtume ﷺ ikimjia habari ya kufurahisha husujudu kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetukuka.]    [Imepokewa na wapokezi wa hadithi ila Al-Nnasai]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.