0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

121 UTAJO KATIKA MASH’ARUL HARAAM (MUZDALIFAH)

UTAJO KATIKA MASH’ARUL HARAAM (MUZDALIFAH)

Amesema Jaabir radhi za Allah ziwe juu yake  kwamba ‘Mtume ﷺ alimpanda Al-Qaswa (jina la ngamia wake) mpaka alipofika Mash’arul Haraam (huko Muzdalifah), kisha akaelekea Qiblah akamuomba Mwenyezi Mungu , akakabbir (akamtukuza), akaleta Tahlil (akamsifu), na akampwekesha. Hakuacha kusimama mpaka kulipopambazuka ndipo alipoondoka kabla ya kutoka jua.     [Imepokewa na Muslim.]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.