0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

120 DUA YA SIKU YA ARAFAH

DUA YA SIKU YA ARAFAH

Bora ya dua ni dua ya siku ya Arafah,na bora ya niliyosema mimi na Mitume kabla yangu ni

 لا إله إلا الله وحدهُ لا شريك لهُ ، لهُ الملكُ ولهُ الحمدُ وهو على كل شيء قدير

الترمذي وحسنه الألباني في صحيح الترمذي

[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu  hali ya kuwa peke yake, hana mshirika wake, ni wake Ufalme na ni zake sifa njema, naye juu ya kila kitu ni Muweza]     [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na kuhasinishwa na Al-Baaniy.]

DUA YA SIKU YA ARAFAH

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.