June 20, 2021
0 Comments
KINGA YA MUISLAMU
[ بسم الله ولجنا ،وبسم الله خرجنا ، وعلى ربنا توكلنا ، ثم ليسلم على أهله ]
أخرجه أبو داود 4/ 325
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu tunaingia, na kwa jina la Mwenyezi Mungu tunatoka, na Mola wetu tunamtegemea” Kisha asalimie watu walio ndani] [Imepokewa na Abuu Daud]
SIKILIA DUA YA KUINGIA NYUMBANI