0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

13 DUA YA KWENDA MSIKITINI

KINGA YA MUISLAMU

اللهم اجعل في قلبي نوراً ، وفي لساني نوراً ، وفي سمعي نوراً ، وفي بصري نوراً ، ومن فوقي نوراً ، ومن تحتي نوراً ، وعن يميني نوراً ، وعن شمالي نوراً ، ومن أمامي نوراً ، ومن خلفي نوراً  ، و اجعل في نفسي نوراً ، وأعظم لي نوراً ، وعظم لي نوراً ، واجعل لي نوراً ، واجعلني نوراً ، اللهم أعطني نوراً ، واجعل في عصبي نوراً ، وفي لحمي نوراً ، وفي دمي نوراً ، وفي شعري نوراً ، وفي بشري نوراً

[ اللهم اجعل لي نوراً في قبري .. ونوراً في عظامي ]  [ وزدني نوراً ، وزدني نوراً ، وزدني نوراً ]  [  وهب لي نوراً على نوراً]

أخرجه البخاري ومسلم

[Ewe Mwenyezi Mungu, weka katika moyo wangu nuru, na katika ulimi wangu nuru, na katika masikio yangu nuru, na katika macho yangu nuru, na juu yangu nuru, na chini yangu nuru, na kuliani kwangu nuru, na kushotoni kwangu nuru, na mbele yangu nuru, na nyuma yangu nuru, na weka katika nafsi yangu nuru, na nifanyie kubwa nuru, na nifanyie nyingi nuru, na uniwekee mimi nuru, na unifanyie mimi nuru, Ewe Mwenyezi Mungu nipe nuru, na uweke  katika  mishipa yangu nuru, na katika  nyama  yangu nuru, na katika damu yangu nuru, na katika nywele zangu nuru, na katika ngozi yangu nuru, (Ewe Mwenyezi Mungu  niwekee nuru katika kaburi langu, na nuru katika mifupa yangu) (Na unizidishie nuru, na unizidishie nuru, na unizidishie nuru) (na unipe nuru juu ya nuru. )]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

SIKILIZA DUA YA KWENDA MSIKITINI

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.