June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبِي ذرٍّ رضي اللَّه عنه أيضاً أنَّ رسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « عُرِضَتْ عَلَيَّ أعْمالُ أُمَّتي حسَنُهَا وسيِّئُهَا فوجَدْتُ في مَحاسِنِ أعْمالِهَا الأذَى يُماطُ عن الطَّرِيقِ ، وَوجَدْتُ في مَساوَىءِ أعْمالِها النُّخَاعَةُ تَكُونُ فِي المَسْجِدِ لاَ تُدْفَنُ » رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu Dharr, Jundub bin Junaadah Radhi za Allah ziwe juu kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Nilionyeshwa ‘amali za Ummah wangu nzuri na mbaya. Nikaona katika jumla ya mema yao ni kuondoshwa takataka njiani, na nikaona katika jumla ya mabaya yao ni kutema mate Msikitini na wala yasifunikwe.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى