0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

118 DUA INAYOSOMWA BAINA YA NGUZO YA YEMEN NA HAJAR AL ASWAD (KATIKA AL KAABAH)

DUA INAYOSOMWA BAINA YA NGUZO YA YEMEN NA HAJAR AL ASWAD (KATIKA AL KAABAH)

Alikuwa Mtume ﷺ akisema baina yake:

{ رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ}

[Ewe Mwenyezi Mungu  tupe katika dunia hii wema na katika akhera  wema na utukinge na adhabu ya moto.]     [Imepokewa na Abuu Daud na Ahmad na Al-Baghawiy.]

DUA INAYOSOMWA BAINA YA NGUZO YA YEMEN NA HAJAR AL ASWAD (KATIKA AL KAABAH)

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.