0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

117 TAKBIRA ATAKAPOFIKA KATIKA HAJARUL AL-ASWAD

TAKBIRA ATAKAPOFIKA KATIKA HAJARUL AL-ASWAD

Mtume ﷺ alitufu (kuzunguka Al-Kaabah) juu ya ngamia, kila anapofika katika Hajrat-Aswad (Jiwe jeusi) alikuwa anaashiria kwa fimbo yake na kusema:

[اللهُ أكْبَر]

[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa]   [Imepokewa na Bukhari.]

TAKBIRA ATAKAPOFIKA KATIKA HAJARUL AL-ASWAD

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.