0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

107 ANACHOSEMA MTU ILIYEMJIA HABARI YA KUFURAHISHA AU YA KUSIKITISHA

KINGA YA MUISLAMU

Alikuwa Mtume ﷺ ikimjia habari ya kufurahisha akisema:

[ الحمد لله الذي بنعمته تتم الصالحات ]

[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambaye kwa neema yake yanatimia mambo mema]

Na ikimjia habari ya kusikitisha husema:

[ الحمد لله على كل حال ]

[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu  kwa hali zote]     [Imepokewa na Ibnu Sunniy, na Al-Haakim na kuisahihisha]

SIKILIZA DUA HII

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.