0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

106. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mujahada Hadithi ya 12


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي فِراس رَبِيعةَ بنِ كَعْبٍ الأسْلَمِيِّ خادِم رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، ومِنْ أَهْلِ الصُّفَّةِ رضي اللَّهُ عنه قال: كُنْتُ أبيتُ مع رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، فآتِيهِ بِوَضوئِهِ، وحاجتِهِ فقال: «سلْني» فقُلْت: أسْألُكَ مُرافَقَتَكَ في الجنَّةِ. فقالَ: «أوَ غَيْرَ ذلِك؟» قُلْت: أسْألُكَ مُرافَقَتَكَ في الجنَّةِ. فقالَ: «أوَ غَيْرَ ذلِك ؟» قُلْت: هو ذَاك. قال: «فأَعِنِّي على نَفْسِكَ بِكَثْرةِ السجُودِ»    رواه مسلم


Kutoka kwaAbuu Firaas, Rabi’ bin Ka’b Al-Aslamiy mtumishi wa Mtume wa Mwenyezi Mungu na ni katika watu wa suffah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilikuwa nikilala kwa Mtume ﷺ nikimpelekea chombo cha kutawadhia na mahitajio yake mengineo. Akaniambia: [Niombe.] Nikamwambia: Nakuomba kuwa rafiki yako Peponi. Akaniuliza: [Una lingine?] Nikamjibu: Ni hilo tu. Akaniambia: [Basi Nisaidie juu nafsi yako kusujudu kwa wingi.]     [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.