0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

107. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mujahada Hadithi ya 13

BUSTANI YA WATU WEMA


عن أبي عبد اللَّه ويُقَالُ: أبُو عبْدِ الرَّحمنِ ثَوْبانَ موْلى رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: سمِعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول: عليكَ بِكَثْرةِ السُّجُودِ، فإِنَّك لَنْ تَسْجُد للَّهِ سجْدةً إلاَّ رفَعكَ اللَّهُ بِهَا درجةً، وحطَّ عنْكَ بِهَا خَطِيئَةً»     رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu ‘Abdillah, pia huitwa Abuu ‘Abdir-Rahmaan, Thawbaan muachwa huru wa Mtume amesema: Nilimsikia Mtume  akisema: [Kithirisha kusujudu kwa wingi, kwani wewe hutosujudu sijdah (moja) isipokuwa Mwenyezi Mungu Atakupandisha daraja kwa sijdah hiyo, na Atakuondoshea dhambi kwa sijdah hiyo.]     [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.