0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

104 DUA YA MSAFIRI UNAPOINGIA USIKU

KINGA YA MUISLAMU

[سَمعَ سَامعً بحمد الله وحُسنِ بلائه علينا، ربنا صاحبنا ، وأفضِل علينا عائذا بالله من النار]

 مسلم4/ 2086

[Amesikia msikilizaji kusifiwa kwa Mwenyezi Mungu, na uzuri wa neema zake juu yetu.  Mola wetu kuwa nasi na tufadhilishe hali ya kuwa tunajilinda na Mwenyezi Mungu  kutokana na moto.]    [Imepokewa na Muslim.]

DUA YA MSAFIRI UNAPOINGIA USIKU

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.