0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

103 KUMKUMBUKA MWENYEZI MUNGU WAKATI WA KUPANDA MLIMA NA WAKATI WA KUSHUKA

KINGA YA MUISLAMU

Imepokelewa kutoka kwa Jaabir amesema:  “Tulikuwa tukipanda mlima tunasema:

[اللهُ أَكْـبَر]

[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa]

Na tukishuka  tunasema:

[سُبْـحانَ الله]

Ametakasika Mwenyezi Mungu

[imepokewa na Bukhari]

SIKILIZA DUA HII

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.