June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عن ابن عباس رضي اللَّه عنه قال: قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: «نِعْمتانِ مغبونٌ فيهما كثير من الناس: الصحة والفراغ» رواه مسلم
Kutoka kwa ‘Abdullaah bin ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Mtume ﷺ amesema: [Neema mbili watu wengi wamezipunja afya na faragha (wakati).] [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله