June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَنس رضي اللَّه عنه عن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فيمَا يرْوِيهِ عنْ ربهِ عزَّ وجَلَّ قال: «إِذَا تقرب الْعبْدُ إِليَّ شِبْراً تَقرَّبْتُ إِلَيْهِ ذِراعاً، وإِذَا تقرَّب إِلَيَّ ذراعاً تقرَّبْتُ منه باعاً، وإِذا أَتانِي يَمْشِي أَتيْتُهُ هرْوَلَة» رواه البخاري
Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ kuhusu aliyopokea kutoka kwa Mola Wake ﷻ Anasema: [Mja Wangu atakaponikaribia kwa shubiri, Nitamkaribia kwa dhiraa. Akinikaribia kwa dhiraa, Nitamkaribia kwa pima, na akinijia kwa kutembea nami Nitamkimbilia.] [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله