BUSTANI YA WATU WEMA
قال اللَّه تعالى : {قُلْ إِنَّمَا أَعِظُكُم بِوَاحِدَةٍ ۖ أَن تَقُومُوا لِلَّهِ مَثْنَىٰ وَفُرَادَىٰ ثُمَّ تَتَفَكَّرُوا ۚ} سبأ:46
وقال تعالى :{إِنَّ فِي خَلْقِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَاخْتِلَافِ اللَّيْلِ وَالنَّهَارِ لَآيَاتٍ لِّأُولِي الْأَلْبَابِ الَّذِينَ يَذْكُرُونَ اللَّهَ قِيَامًا وَقُعُودًا وَعَلَىٰ جُنُوبِهِمْ وَيَتَفَكَّرُونَ فِي خَلْقِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ رَبَّنَا مَا خَلَقْتَ هَٰذَا بَاطِلًا سُبْحَانَكَ فَقِنَا عَذَابَ النَّارِ} آل عمران:190-191
وقال اللَّه تعالى : {أَفَلَا يَنظُرُونَ إِلَى الْإِبِلِ كَيْفَ خُلِقَتْ وَإِلَى السَّمَاءِ كَيْفَ رُفِعَتْ وَإِلَى الْجِبَالِ كَيْفَ نُصِبَتْ وَإِلَى الْأَرْضِ كَيْفَ سُطِحَتْ فَذَكِّرْ إِنَّمَا أَنتَ مُذَكِّرٌ} الغاشية:17-21
وقال اللَّه تعالى :{أَفَلَمْ يَسِيرُوا فِي الْأَرْضِ فَيَنظُرُوا كَيْفَ كَانَ عَاقِبَةُ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ} غافر:82
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Sema: Mimi nakunasihini kwa jambo moja tu – ya kwamba msimame kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, wawili-wawili na mmoja-mmoja; kisha mfikiri.] [Suurat Sabaa:46]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi na kukhitalifiana usiku na mchana ziko Ishara kwa wenye akili.Ambao humkumbuka Mwenyezi Mungu wakiwa wima na wakikaa kitako na wakilala, na hufikiri kuumbwa mbingu na ardhi, wakisema: Mola wetu Mlezi! Hukuviumba hivi bure. Subhanaka, Umetakasika! Basi tukinge na adhabu ya Moto.] [Suurat Al ‘Imran:190-191]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Kwani hawatembei katika ardhi wakaona ulikuwaje mwisho wa walio kuwa kabla yao?] [Ghaafir:82]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Je! Hawamtazami ngamia jinsi alivyo umbwa?Na mbingu jinsi ilivyo inuliwa? Na milima jinsi ilivyo thibitishwa?Na ardhi jinsi ilivyo tandazwa?Basi kumbusha! Hakika wewe ni Mkumbushaji.] [Al Ghaashiyah:17-21]
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله