0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

088. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuyakimbilia Mambo ya Kheri Hadithi ya 02


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عنْ أبي سِرْوَعَةَ بكسرِ السين المهملةِ وفتحها عُقبةَ بنِ الْحارِثِ رضي اللَّه عنه قال: صليت وراءَ النَبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بالمدِينةِ الْعصْرَ ، فسلَّم ثُمَّ قَامَ مُسْرعاً فَتَخَطَّى رِقَابَ النَّاسِ إلى بعض حُجَرِ نسائِهِ ، فَفَزعَ النَّاس من سرعَتهِ ، فخرج عَليهمْ ، فرأى أنَّهُمْ قدْ عَجِبوا منْ سُرْعتِه ، قالَ : «ذكرت شيئاً من تبْرٍ عندَنا ، فكرِهْتُ أن يحبسَنِي ، فأمرْتُ بقسْمتِه»     رواه البخاري

وفي رواية له: « كنْتُ خلَّفْتُ في الْبيتِ تِبراً من الصَّدقةِ ، فكرِهْتُ أنْ أُبَيِّتَه »

التِّبْر» قطع ذهبٍ أوْ فضَّةٍ


Kutoka kwa Abuu Sirw’ah, ‘Uqbah bin Al-Haarith Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Niliswali nyuma ya Mtume Swalaa ya Alasiri Madina. Akatoa salaamu kisha akainuka kwa haraka, akawa anaziruka shingo za watu kuelekea katika chumba kimoja cha wakeze. Watu wakapata mshangao kwa ile haraka yake. Kisha akawatokezea na kuwaona wamemstajabu kwa ile haraka yake, akawaambia: [Nilikumbuka kitu katika kipande cha dhahabu kilichokuwa kwetu, nikakichukua kisije kikanizuia, nikaamuru kigawanywe.]    [Imepokewa na Bukhari]

Na katika Riwaya nyingine ya Bukhariy imesema:

[Nilikuwa nimeacha nyumbani kipande cha dhahabu cha Sadaka, nikachukia kisije kikapitiwa na usiku (nacho kipo nyumbani).]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.