0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

085. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuwa na Istiqama Hadithi ya 01


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وَعَنْ أبي عمرو ، وقيل أبي عمْرة سُفْيانَ بنِ عبد اللَّه رضي اللَّه عنه قال: قُلْتُ : يا رسول اللَّهِ قُلْ لِي في الإِسلامِ قَولاً لا أَسْأَلُ عنْه أَحداً غيْركَ . قال: « قُلْ : آمَنْت باللَّهِ: ثُمَّ اسْتَقِمْ »   رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu ‘Amru, Sufyaan bin ‘Abdillaah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimwambia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: niambie neno katika Uislamu ambalo sitamuuliza yoyote mwengine. Akasema: [Sema: Nimemuamini Mwenyezi Mungu, kisha uwe na Msimamo.]    [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.