0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

084. Riyadhu Swalihina Mlango wa Yakini na Kumtegemea Mwenyezi Mungu Hadithi ya 11


BUSTANI YA WATU WEMA


 رياض الصالحين


وَعنْ أنَسٍ رضي اللَّهُ عنه قال : كَان أخوانِ عَلَى عهْدِ النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، وكَانَ أَحدُهُما يأْتِي النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، والآخَرُ يحْتَرِفُ ، فَشَكَا الْمُحْتَرِفُ أخَاهُ للنبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فقال : « لَعلَّكَ تُرْزَقُ بِهِ »  رواه التِّرْمذيُّ بإسناد صحيح على شرط مسلمٍ
« يحْترِفُ » : يكْتَسِب ويَتَسبَّبُ 


Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:Kulikuwepo ndugu wawili zama za Mtume , mmoja alikuwa akienda kwa Mtume  (na kukaa naye), na mwengine anafanya kazi; yule anayefanya kazi akamshitakia Mtume  dhidi ya ndugu yake, Mtume  akamwambia: [Pengine wewe unaruzukiwa kwa sababu yake.]  [Imepokewa na At-Tirmidhiy kwa isnaad Sahihi]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.