0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

079. Riyadhu Swalihina Mlango wa Yakini na Kumtegemea Mwenyezi Mungu Hadithi ya 06


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عنْ عمرَ رضي اللَّهُ عنه قال : سمعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقُولُ: « لَوْ أنَّكم تتوكَّلونَ على اللَّهِ حقَّ تَوكُّلِهِ لرزَقكُم كَما يرزُقُ الطَّيْرَ ، تَغْدُو خِماصاً وترُوحُ بِطَاناً»     رواه الترمذي ، وقال : حديثٌ حسنٌ
معْناهُ تَذْهَبُ أوَّلَ النَّهَارِ خِماصاً : أي ضَامِرةَ الْبُطونِ مِنَ الْجُوعِ ، وترْجِعُ آخِرَ النَّهَارِ بِطَاناً : أيْ مُمْتَلِئةَ الْبُطُونِ


Kutoka kwa ‘Umar Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nimemsikia Mtume akisema: [Lau mngelikuwa mnamtegemea Mwenyezi Mungu ukweli wa kumtegemea, Angewaruzuku kama Anavyowaruzuku ndege. Wanatoka asubuhi wakiwa wana njaa na wanarudi wakiwa wameshiba.]     [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema: Hadiyth hii ni Hasan]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.